Niet blij met je aankoop? Geeft niet! Je kunt artikelen tot 30 dagen retourneren
Met een cadeaubon zit je altijd goed. De ontvanger kan de cadeaubon voor alles uit ons assortiment inwisselen.
Mwandishi mmoja mashuhuri hapa duniani aliwahi kuandika katika kitabu chake, 'No Money Smells', kwamba hakuna pesa zinazonuka. Lakini mwandishi wa riwaya hii anadai "e;zipo, na zanuka"e;. Ni pesa zipi hizi? Na vipi zinuke? Hii ni riwaya nzito ya kihistoria. Mwandishi anaivulia jamii miwani na kuitazama kwa makini bila uoga, huku akimulika unafiki na ukatili uliofichika katika mioyo ya wengi. Hata anakutana na huyu ambaye anaambiwa: "e;Umemuua mwanao ... Lazima umle ... "e; Ni riwaya ambayo itakutoa machozi!
Hoi! Ik ben Libroamiko, je boekadviseur.
Hoe kan ik je helpen?